Kiongozi wa Kikundio cha Charitable Sisters cha Lindi wajumuiya na Watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika Chakula cha usiku kilichofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Double M.
Watoto wakipata chakula kilichoandaliwa kwa ajili yao.
Wajasiriamali Wanawake wa Mkoa wa Lindi Wakijumuika na Watoto wanaoishi katika mazingira magumu wa Kituo cha Watoto cha Huruma Lindi katika chakula maalumu waliowaandalia watoto hao
Watoto wa Kituo cha Watoto cha Huruma Lindi wakipata chakula cha usiku kilichoandaliwa na Kikundi cha Wajasiriamali Wanawake wa Mkoa wa Lindi katika ukumbi wa hoteli ya Double M, na kukabidhi fedha kwa ajili ya kituo hicho.
0 comments:
Post a Comment