Wanafunzi
wa Shahada ya Kwanza ya Usimamizi wa Biashara na Elimu wa Chuo Kikuu
cha Stefano Moshi (SMMUCO),Tawi la Moshi Mjini wakimsikiliza Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na SABMiller East Africa,
Roberto Jarrin alipokuwa akitoa mhadhara wa masuala ya biashara na
masoko chuoni hapo, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na SABMiller East Africa,
Roberto Jarrin (kushoto) akibadilishana mawazo na Afisa Mipango wa Chuo
Kikuu cha Stefano Moshi (SMMUCO), Tawi la Moshi mjini, Wilfred Shangali
mara baada ya kuhitimisha mhadhara wake wa masuala ya biashara na masoko
kwa Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Usimamizi wa Biashara na Elimu
uliofanyika chuoni hapo juzi .
Afisa
Mipango wa Chuo Kikuu cha Stefano Moshi (SMMUCO), Tawi la Moshi Mjini
Wilfred Shangali akibadilishana mawazo na Meneja Mawasiliano na Mambo ya
Nje wa TBL Emma Urio mara baada ya kumalizika kwa Mhadhara wa Biashara
na Masoko uliotolewa chuoni hapo na Mkurugenzi Mtendaji wa TBL na
SABMiler East Africa Roberto Jarrin kwa Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza
ya Usimamizi wa Biashara na Elimu.
Meneja Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
Emma Urio akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani mara baada
ya kumalizika kwa Mhadhara wa biashara na masoko uliotolewa na
Mkurugenzi Mtendaji wa TBL na SABMiler East Africa Roberto Jarrin katika
Chuo Kikuu cha Stefano Moshi (SMMUCO), Tawi la Moshi mjini kwa
Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Usimamizi wa Biashara na Elimu.

Mkuu
wa Idara ya Biashara Chuo Kikuu cha Stefano Moshi (SMMUCO) Tawi la
Moshi mjini Dk. Gasper Mpehongwa akizungumza na waandishi wa habari
hawapo pichani mara baada ya Mhadhara wa biashara na Masoko uliotolewa
na Mkurugenzi Mtendai wa TBL na SABMiler East Africa Roberto Jarrin kwa
wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Usimamizi wa Biashara na Elimu,
pembeni yake ni Meneja Mawasiliano na Mambo ya Nje wa TBL, Emma Urio.
Waziri
wa Mahusiano wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Stefano Moshi
(SMMUCO),Tawi la Moshi akizungumzia namna walivyonufaika na Mhadhara wa
biashara na masoko uliotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa TBL na SABMiler
East Africa Roberto Jarrin kwa wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya
Usimamizi wa Biashara na Elimu chuoni hapo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na SABMiller East Africa,
Roberto Jarrin (kushoto) akibadilishana mawazo na Afisa Mipango wa Chuo
Kikuu cha Stefano Moshi (SMMUCO), Tawi la Moshi mjini, Wilfred Shangali
mara baada ya kuhitimisha mhadhara wake wa masuala ya biashara na masoko
kwa Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Usimamizi wa Biashara na Elimu
uliofanyika chuoni hapo
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia Nchini (TBL) na SABMiller East Africa
Roberto Jarrin akisikiliza swali kutoka kwa mmoja wa wanafunzi wa
Shahada ya Kwanza ya Usimamizi wa Biashara na Elimu kutoka Chuo Kikuu
cha Stefano Moshi (SMMUCO),Tawi la Moshi Mjini jana, Mkurugenzi huyo
alikwenda kutoa Mhadhara wa masuala ya Biashara na Masoko chuoni hapo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia Nchini (TBL) na SABMiller East Africa
Roberto Jarrin akitoa Mhadhara wa mauala ya Biashara na Masoko kwa
Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Usimamizi wa Biashara na Elimu wa
Mwaka wa kwanza na watatu hawapo pichani katika Chuo Kikuu cha Stefano
Moshi (SMMUCO),Tawi la Moshi Mjini.
0 comments:
Post a Comment