TAASISI YA BRIGITTE ALFRED YAJENGA BWENI LA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI WA KITUO BUHANGIJA MKOANI SHINYANGA

Jengo la Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo cha Shule ya Buhangija Mkoani Shinyanga, lililojengwa kwa ufadhili wa Taasisis ya Brigitte Alfred, Bi. Brigitte Alfre, muda mfupi kabla ya Uzinduzi rasmi wa Bweni hilo.
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe (katikati) akizungumza na mmoja wa wasimamizi wa kituo cha Shule ya Buhangija Mkoani Shinyanga wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo hicho, lililojengwa na Taasisis ya Brigitte Alfred. Kushoto ni Rais na Mwanzilishi wa Taasisi hiyo, Bi. Brigitte Alfred.
Rais na Mwanzilishi wa Taasisi ya Brigitte Alfred, Bi. Brigitte Alfred, akiongozana na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe pamoja na baadhi wa wasimamizi wa kituo cha Shule ya Buhangija Mkoani Shinyanga, kuelekea kwenye Uzinduzi wa Bweni hilo.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment