WANAFUNZI WA KITIVO CHA BIASHARA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM WANUFAIKA NA SEMINA MAALUM YA MASUALA YA BIASHARA ILIYOANDALIWA NA VODACOM TANZANIA


Mwanafunzi wa mwaka wa pili wa masomo ya biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Zahra Ramadhani(kulia) akielezewa jambo na mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Habibu Ngosha ,kuhusiana na simu aina ya Smart Phone wakati Semina maalum ya mafunzo ya Kibiashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya biashara hapo jana chuoni hapo.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa wa Vodacom Tanzania,Samson Mwongela akimkabidhi zawadi mmoja wa wanafunzi wanaosoma masomo ya biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Wakati wa semina maalum liliyoandaliwa na kampuni hiyo na wadau wa masuala ya biashara kwa ajili ya wanafunzi wa kitivo hicho hapo jana chuoni hapo.
Baadhi ya Wanafunzi wa kitivyo cha biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wakimsikiliza Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania, Edwin Byampanju wakati wa semina maalum liliyoandaliwa na kampuni hiyo na wadau wa masuala ya biashara kwa ajili ya wanafunzi wa kitivo hicho hapo jana chuoni hapo.
Mkufunzi wa Masuala ya Kibiashara,Costantine Magavilla(kulia) akifafanua jambo kwa Wanafunzi wa kitivo cha biashara Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Wakati wa semina maalum liliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa masuala hayo kwa ajili ya wanafunzi wa kitivo hicho hapo jana chuoni hapo.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment