Mkurugenzi Mtendaji wa Shule Direct, Faraja K. Nyalandu (wa kwanza kulia) Meneja wa Huduma za jamii wa Tigo , Woinde Shishael(wa pili kulia), Mkuu wa Mfuko wa Human Development Innovation Fund (HDIF), David B. McGinty, (wa kwanza kushoto), Mwanafunzi aliyefanya vizuri katika mtihani wa kidato cha nnemwaka 2015/16 kutokea shule ya wavulana Fezza ya jijini Dar es Salaam, Innocent Lawrence (wa pili kushoto) na Mkurungezi wa Tume ya sayansi na teknolojia Flora Ismail Tibazarwa (wa tatukushoto)wakitazama namna mfumo wa huduma mpya ya wanafunzi kujifunza kupitia ujumbe mfupi wa maandishi, MAKINI SMS unavyoweza kufanya kazi kupitia simu ya mkononi.Wanafunzi i wa shule ya sekondari Azania na wageni waalikwa wakishuhudia uzinduzi wa wa jukwaa la kielimu la SMS Makini ambalo litakuwa linatoa masuala mbalimbali ya kijifunza kupitia mtandao kwa walimu na wanafunzi wa shule za sekondari nchini mapema mwishoni mwa wiki iliyopita ,Hafla ya uzinduzi ilifanyika katika shule ya sekondari Azania Jijini Dar es Salaam.Meneja wa Huduma za jamii wa Tigo, Woinde Shishael (Wa kwanza kulia ) akizungumza na waandishi wa habari, Pembeni yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shule Direct, Faraja K. Nyalandu mara baada ya uzinduzi wa jukwaa la kielimu la SMS Makini ambalo litakuwa linatoa masuala mbalimbali ya kujifunza kupitia mtandao kwa walimu na wanafunzi wa shule za sekondari nchini mapema mwishoni mwa wiki iliyopita ,Hafla ya uzinduzi ilifanyika katika shule ya sekondari Azania Jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Shule Direct, Faraja K. Nyalandu akizungumza na vyombo mara baada ya mara baada ya uzinduzi wa jukwaa la kielimu la SMS Makini ambalo litakuwa linatoa masuala mbalimbali ya kijifunza kupitia mtandao kwa walimu na wanafunzi wa shule za sekondari nchini mapema mwishoni mwa wiki iliyopita ,Hafla ya uzinduzi ilifanyika katika shule ya sekondari Azania Jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa shule ya sekondari Azania ya jijini Dar es Salaam wakielekezana namna ya kutumia jukwaa la kielimu la SMS Makini ambalo litakuwa linatoa masuala mbalimbali ya kijifunza kupitia mtandao kwa walimu na wanafunzi wa shule za sekondari nchini mapema mwishoni mwa wiki iliyopita ,Hafla ya uzinduzi ilifanyika katika shule ya sekondari Azania Jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment