Balozi Mpya wa Kenya Apongezwa kwa Mapokezi ya Upendo Jijini Dar es Salaam


Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Catherine Wahome akikata Keki iliyoandaliwa na Wafanyakazi wa Ubalozi huo wakati alipowasili katika Ofisi ya Ubalozi mara baada ya kukabidhi Hati ya Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Watanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan.



Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Catherine Wahome akikabidhiwa Ua kwa ajili ya upendo wakati alipowasili katika Ofisi ya Ubalozi mara baada ya kukabidhi Hati ya Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Watanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Catherine Wahome akiwa katika picha ya pamoja baada ya baada ya kukabidhi Hati ya Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Watanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan.

SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment