Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa
akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Chuo cha Mabaharia cha Dar es Salaam
(DMI) Eng. Yassin Songoro katika ziara yake ya kukagua Chuo hicho
jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Mabaharia cha Dar es Salaam (DMI) Eng. Yassin
Songoro (katikati) akimuongoza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kukagua madarasa ya Chuo hicho.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa
akikagua dira ya kuongozea meli (compass) katika moja ya darasa la
Chuo hicho. Kulia ni Mkuu wa Chuo cha DMI Eng. Yassin Songoro.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa
(mwenye tai) akikagua mitambo ya kuongozea meli katika moja ya
madarasa ya chuo cha DMI wakati wa ziara yake chuoni hapo.
0 comments:
Post a Comment