Mgeni rasmi Kaimu
RAS Mkoa wa Rukwa Bw. Abubakary Kunenge, akitoa hotuba wakati wa ufungizi wa semina ya elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wakulima wa
MVIWATA Rukwa, Kulia ni Mwenyekiti wa MVIWATA Rukwa Bi. Lydia
Ruhilo na kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bw. Mohamed Nyasama.
Sehemu ya Wanafunzi wa Chuo
cha Ualimu Sumbawanga wakisikiliza kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa kutoka
SSRA wakati wa Semina ya elimu ya Hifadhi ya Jamii Mkoani Rukwa hivi karibuni.
Afisa wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bw. Samuel Nzunda akiwasilisha mada wakati wa semina ya elimu ya Hiafadhi ya Jamii mkoani Rukwa.
Wawakilishi kutoka Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi wa Chuo cha
VETA-Kigoma mara baada ya semina ya elimu ya Hifadhi ya Jamii iliyoendeshwa na SSRA
mkoani humo hivi karibuni.
Bi
Carina Wangwe, kutoka SSRA akifafanua jambo wakati wa semina ya elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wadau mkoani Kigoma.
Afisa kutoka
SSRA, Bw. Ally Masaninga akiwasilisha mada wakati wa semina ya elimu ya Hifadhi ya Jamii mkoani Kigoma hivi karibuni.
Wanafunzi wa
Chuo cha UfundiStadi – VETA Kigoma wakisikiliza kwa makini mada kutoka kwa maofisa wa SSRA.
Wawakilishi wa
SSRA wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha
Newma-Kigoma mara baada ya semina ya elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wanafunzi wa Chuo hicho.
Bw.
Onorius Njole, Mkurugenzi wa Huduma za Sheria kutoka SSRA akifafanua jambo wakati wa semina kwa wadau wa
Chuo cha Ualimu Mpanda.
Wanafunzi wa
Chuo cha Ufundi Stadi – VETA Mpanda wakisikiliza kwa makini mada kutoka SSRA.
Afisa kutoka SSRA Bi. Beatrice
Ngong’ho akigawa vifaa kwa wanafunzi wa Chuo Cha
Ualimu Mpanda wakati wa semina ya elimu ya Hifadhi ya Jamii mkoani Katavi.
Sehemu ya wafanyakazi na wanafunzi wa
Chuo cha Ufundi Stadi VETA
mkoani Mpanda wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi kutoka SSRA wakati wa semina za elimu kwa Umma mkoani humo.
0 comments:
Post a Comment