Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mlimani, Mariam Mrisho (kushoto) akisoma ujumbe ulioandikwa kwenye bango kwa ajili ya kutoa elimu kwa madereva wakati wa kuadhimisha siku ya Afya na Usalama Kazini Duniani. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania ilifanyika katika shule hiyo jijini Dar es Salaam. Mwanaidi Khamis mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mlimani jijini Dar es Salaam (kushoto) akisoma ujumbe ulioandikwa kwenye bango kwa ajili ya kutoa elimu kwa madereva wakati wa kuadhimisha siku ya Afya na Usalama Kazini Duniani. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania ilifanyika katika shule hiyo jijini Dar es Salaam. Ofisa polisi wa Usalama Barabarani(CPL) Wilbart Binamungwe (kushoto) akiwaelekeza baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Mlimani jijini Dar es Salaam jinsi ya kuvuka barabara, wakati wa kuadhimisha siku ya Afya na Usalama Kazini Duniani. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania ilifanyika katika shule hiyo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mlimani jijini Dar es Salaam, wakisoma mabango yaliyoshikiliwa na wanafunzi wenzie yenye ujumbe wa kusisitiza madereva kutokuvunja sheria za barabarani. Wakati wa kuadhimisha siku ya Afya na Usalama Kazini Duniani. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania ilifanyika katika shule hiyo jijini Dar es Salaam.
Ofisa Polisi wa Usalama Barabarani (CPL) Wilbart Binamungwe akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Mlimani jijini Dar es Salaam jinsi ya kufuata sheria za kuvuka barabara, wakati wa kuadhimisha siku ya Afya na Usalama Kazini Duniani. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania ilifanyika katika shule hiyo jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment