WAZIRI WA ELIMU ATEMBELEA BANDA LA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA KWENYE MAONYESHO YA ELIMU MJINI DODOMA


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Sylvia Lupembe, alipotembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania Jumatano Tarehe 13 Mei 2015.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment