Miss Tanzania wa sasa, Lilian Kamakazi (pichani juu na chini) akiwa na wanafunzi wa shule ya Shalom ya Njiro, Arusha.
Miss Tanzania wa sasa, Lilian Kamakazi, leo ni siku yake ya kuzaliwa ambapo anatimiza miaka 19. Ameamua kusherekea siku yake kwa kwenda kujumuika na wanafunzi wa shule aliyosomea ya Shalom ya Njiro -Arusha ambako alisoma elimu yake ya msingi.- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment