PICHA YA LEO

Mh. January Makamba akisalimiana na Wanafunzi wa Sekondari waliokuwa Uwanjani hapo waliokuwa katika ziara ya kimasomo mara baada ya kuwasili mkoani hapa Kagera kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania Urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho cha CCM. Picha na Faustine Ruta, Bukoba.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment