Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu, akizungumza wakati wa mahafali ya 22 ya Chuo cha Utumishi Tanzania (TPSC) na ya kwanza kwa tawi la Mbeya hivi karibuni Jijini Mbeya.
|
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu akimtunuku mmoja wa wahitimu wa mafahali ya 22 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na ya kwanza kwa tawi la Mbeya.
|
|
Sehemu ya wahitimu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Tawi la Mbeya wakiwa katika mahafali ya 22 ya Chuo hicho na ya kwanza kwa tawi la Mbeya.
|
|
Wahitimu wakiandamana chuoni hapo kuelekea kwenye mahafali |
|
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuwasili Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) tawi la Mbeya kwa ajili ya mahafali ya 22 ya chuo hicho na ya kwanza kwa tawi la Mbeya hivi karibuni |
|
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu akiwasili Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) tawi la Mbeya kwa ajili ya mahafali ya 22 ya chuo hicho na ya kwanza kwa tawi la Mbeya hivi karibuni |
|
Chuo Cha Utumishi Tanzania (TPSC) tawi la Mbeya (Picha kwa hisani ya www.inocomm.blogspot.com) |
0 comments:
Post a Comment