|
SPORTS LADY ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA |
|
Kocha
wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
kushoto akimpatia bint yake sports lady Zainabu Mhamila 'Ikota' madaftal makubwa kwa
ajili ya kwenda kidato cha kwanza wakati wa mahafari ya 22 ya shule ya
msingi msimbazi mseto Dar es salaam |
|
Zainabu Ikota
Mhamila akipokea zawadi kutoka kwa dada yake Sada Swedy wakati wa
mahafari ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto dar es salaam katikati
ni shangazi yake Azania Athumani Mtopa na baba yake Rajabu Mhamila
;super d |
|
Asha
Kamnyanga 'mama Ikota' kushoto akimpatias zawadi bint yake Zainabu
Mhamila ' Ikota' wakati wa mahafari ya 22 ya shule ya msingi msimbazi
mseto Dar es salaam katikasti ni shangazi yake Azania Athumani Mtopa |
|
Asha Kamnyanga 'mama Ikota' kushoto akimpatias zawadi
bint yake Zainabu Mhamila ' Ikota' wakati wa mahafari ya 22 ya shule ya
msingi msimbazi mseto Dar es salaam katikasti ni shangazi yake Azania
Athumani Mtopa |
|
Zainabu
Mhamila 'Ikota' akimlisha keki Mama yake Asha Kamnyanga 'Mama Ikota'
wakati wa Mahafali ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam
anaeshudia katikati ni dada yake Sada Swedy |
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila
'Super D' kushoto akiwa na bint yake Zainabu Mhamila 'Ikota' wakati wa
mahafali ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam
|
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila
'Super D' kushoto akiwa na bint yake Zainabu Mhamila 'Ikota' wakati wa
mahafali ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam |
|
Kocha
wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto
akiwa na bint yake Zainabu Mhamila 'Ikota' wakati wa mahafali ya 22 ya
shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam |
|
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi msimbazi mseto wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mahafari ya 22 ya shele hiyo |
|
Kocha wa
kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila wa pili kushoto
akiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi msimbazi mseto Dar es
salaam wakati wa mahafali ya 22 ya shele hiyo |
ZAINABU MHAMILA 'IKOTA' NA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' WAKIWA MBELE YA SHULE YA MSINGI MSIMBAZI MSETO DAR ES SALAAM
0 comments:
Post a Comment