
Watanzania wahitimu shahada ya uzamili kutoka taasisi ya kimataifa International Institute of Social Studies ya chuo kikuu cha Erasmus cha nchini uholanzi.Kutoka kushoto ni Mama Agnes mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini uholanzi, Shamy Chamicha mhitimu shahada ya uzamili ya uchumi, Balozi wa tz nchini uholanzi mh.Irene kasyanjo, Ruth John mhitimu shahada ya uzamili ya uhakiki wa chakula na mazingira, Jackson Bulili mhitimu shahada ya uzamili Uchumi na Rector wa taasisi hiyo mhe. Inge Hutter. Mahafali yalifanyika tarehe 11 December, 2015 nchini Uholanzi. Wasomi hawa wanamuomba MheRais Dkt. Magufuli awatumie pia ili wachangie maendeleo ya nchi yao kwa kasi kubwa.
0 comments:
Post a Comment