Mwanafunzi wa Shule ya St. Florence Academy, Sameer Cecil, akiwatoka
wanafunzi wenzake wakati wa mazoezi yaliofanyika kwenye viwanja vya
Posta Kijitonyama Dar es Salaam jana.
Mchezaji chipukizi wa Tenisi Ismail Imani, akirudisha mpira kwa mpizani wake wakati wa mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye viwanja vya Posta Kijitonya Dar es Salaam juzi.
0 comments:
Post a Comment