AIRTEL YAENDESHA PROGRAM MAALUM KWA WATOTO WA WAFANYAKAZI WAKE

 Afisa Rasilimali wa watu, Mubaraka Kibarabara (wa tatu kushoto), akiwafunza watoto, wakati wa program maalum ya Airtel inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku.
 Mkurugenzi wa mtandao wa Airtel Tanzania, Franky Filman, akimfundisha motto jinsi ya kutumia mashine ya kutoa copy wakati wa program maalum ya Airtel inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku.
 Afisa Rasilimali wa watu, Mubaraka Kibarabara akiongea na mwandishi wakati wa program maalum ya Airtel inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku.
 Zoeylina Mabere akiongea na mwandishi wakati wa program maalum ya Airtel inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku.
Secelela Ngadada akiongea na mwandishi wakati wa program maalum ya Airtel inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment