Sehemu ya Wafanya biashara wakisikiliza kwa makini wakati semina hiyo ya jinsi ya kuendesha biashara.ya vinywaji vyao
Mkufunzi Msimamizi Taasisi ya washauri wa Biashara (TAPBDS CO LTD) Joseph Migunda akiendesha mafunzo hayo
Ofisa Uhusiano wa TBL Doris Malulu, akizungumza na wadau wa biashara (pichani hawapo) ambao wanafadhiliwa na TBL wakati wa semina ya kuboresha biashara.vinywaji vyao
Mshauri wa Biashara, Nyainja Manyama, akizungumza na wafanya Biashara mbalimbali (pichani hawapo) wakati wa semina hiyo iliyo fanyika Dar es Salaam

Maofisa wa TBLK wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyabiashara hao.
0 comments:
Post a Comment