WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MTAKUJA YA JIJINI WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA KOMPYUTA MASHULENI

 Mwalimu wa masomo ya Sayansi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi  Mbezi beach jijini Dar es Salaam, Elibariki John akiwaelekeza wanafunzi  wa kidato cha pili, Jacqueline James(kushoto) na Ibrahim Juma  wa shule hiyo jinsi ya kutafuta  taarifa za maarifa ya masomo  ya sayansi kwa njia ya kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na  Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na Learning In Sync.
 Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya sekondari ya Mtakuja
iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam, wakiendelea kujifunza
masomo mbalimbali kupitia kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation  miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni  unaosimamiwa na Learning In Sync.
Mariam Mwishaha na Khairat Massoud - wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya  sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam  wakimsikiliza kwa umakini Mwalimu wa masomo ya Sayansi wa shule hiyo, Elibariki John (kushoto) wakati akiwafundisha  masomo hayo kupitia kompyuta mpakato walizopatiwa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na Learning In Sync.
 Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya sekondari ya  Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza mwalimu wao wa masomo ya Sayansi Elibariki John, akiwafundisha somo hilo kwa vitendo kupitia kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na
Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na Learning In Sync.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment