Waziri Mstafu Profesa Mark Mwandosya akitoa Mhadhara Chuo Kikuu Cha Ulinzi (National Defense College) jijini Dar es salaam. Mada ilihusu changamoto za kiulinzi na usalama zinazotokana ushirikiano katika mabonde ya kimataifa ya majishirikishi. Waliohudhuria ni maafisa wa ngazi za kati na juu wa vyombo vya ulinzi na usalama, na wanafunzi wengine wa Chuo hicho kutoka Kenya, China, Namibia na Malawi.
Waziri Mstaafu Profesa Mark Mwandosya akiagana na wakufunzi wakuu baada ya kutoa mhadhara huo. Kutoka kulia ni Meja Jenerali Omar; Mrs Lucy Mwandosya; Profesa Mwandosya, na Brigadia Mwaseba.
Mwisho.
0 comments:
Post a Comment