BPF WAPANDA MITI NA KUENDESHA MAFUNZO YA MCHEZO WA RAGBY SHULE YA MSINGI HANANASIF DAR ES SALAAM

 Meneja wa taasisi ya Bhubesi ya nchini Uingereza, (BPF), ambayo kwa sasa inaendesha mafunzo ya kuunyanyua mchezo wa Raga (Rugby), sambamba  na  kusaidia jamii pamoja na maendeleo mashuleni na kwenye vituo vya kijamii, Mark Cole, (kushoto), akinyunyuzia maji kwenye mti alioupanda kwenye shule ya msingi Hananasif ya jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2016. BPF kwa kushirikiana na kampuni ya ulinzi ya kimataifa ya G4S ya jijini Dar es Salaam, wameendesha mafunzo hayo kwa muda wa siku tano kwa shule sita za jijini na Jumamosi hii Machi 19, 2016 wanafunzi walioshiriki kwenye mafunzo hayo watashindana katika bonanza kubwa litakalofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mapambano, Sinza jijini. Anayeshuhudia mwenye kapelo, ni Mkuu wa kitengo cha Mauzo na Masoko cha G4S, Alfred Elia. (Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said)
 Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif wakiwa kwenye mafunzo ya mchezo wa raga, Machi 18, 2016
 Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif wakiwa kwenye mafunzo ya mchezo wa raga, Machi 18, 2016
 Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif wakiwa kwenye mafunzo ya mchezo wa raga, Machi 18, 2016
 Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif wakiwa kwenye mafunzo ya mchezo wa raga, Machi 18, 2016
 Mkufunzi wa mchezo wa Raga kutoka BPF, Michael Lieberum, akizungumza na wanafunzi hao mara baada ya kipindi cha mafunzo ya mchezo huo. Kulia ni mwa,limu wa michezo, shule ya msingi Hananasif, Violet Ngoka
 Mkufunzi wa mchezo wa Raga, Lieberum, akifurahia jambo na wanafunzi hao mara baada ya mafunzo
 Alfred Elia, (kushoto) na Mark Cole, wakizungumza muda mfupi kabla ya upandaji mti kwenye shule ya msingi Hananasif
 "Mambo poa", ndivyo anavyoonekana kusema kwa ishara, Marck Cole
 Wachezaji wa akiba wa mmchezo wa Raga wa shule ya msingi Hananasi, wakifuatilia wenzao waliokuwa mafunzoni
 Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif, walioshiriki mafunzo hayo wakiwa wameshika mipira hiyo ya Raga
  Wanafunzi wa shule ya msingi Hananasif, walioshiriki mafunzo hayo wakiwa wameshika mipira hiyo ya Raga
 Mkuu wa kitengo cha mauzo na masoko, G4S, Alfred Elia, akipanda mti
 Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Hananasif, Idda Uisso, (katikati), akipeana mikono na Marck, huku Elia akishuhudia
 Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Hananasif, Idda Uisso, akipeana mikono na Elia, huku Marck akiwa pembeni yao
Wakufunzi kutoka BPF, Walimu wa michezo wa shule ya msingi Hananasif, pamoja na baadhi ya wanafunzi wao, wakiimba wakati wa zozi la upandaji miti.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment