Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Anthony Peter
Mavunde ambaye akiwasalimia kwa furaha wanafunzi wa Chuo cha Ufundi
Stadi (VETA) Dodoma leo kwenye viwanja vya Bunge.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Anthony Peter
Mavunde akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Ufundi -VETA mkoa wa Dodoma
nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali (AG) George Masaju (katikati) akizungumza na viongozi
wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) waliolitembelea
Bunge mjini Dodoma.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),
George Simbachawene akiwasisitiza jambo viongozi wa wanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) alipokutana nao nje ya ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma leo.
Waziri
wa Elimu, Sayansi na Mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako (kushoto)
akimweleza jambo Rais wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi
(MoCU) Bw. Frank Nkya (kulia) nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Waziri
wa Elimu,Sayansi na Mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako akiwa
katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Ufundi -VETA mkoa wa
Dodoma nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.PICHA/Aron Msigwa-MAELEZO.
0 comments:
Post a Comment