TANAPA WAKABIDHI MRADI WA UJENZI WA BWENI KATIKA SHULE YA SEKONDARI NURU YA WILAYANI SIHA

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akisalimiana na wanafunzi wa shule ya sekondari Nuru iliypo wilayani Siha alipowasili kwa ajili ya makabidhiano na ufunguzi wa Bweni la wananfunzi lililojengwa kwa ufadhili wa hifadhi za taifa Tanzania (TANAPA).
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano hayo.
Baadhi ya wanafunzi katika shule ya sekondari Nuru wakimsikiliza RC Gama (hayupo pichani).
Mkuu wa wilaya ya Siha,Dkt Charles Mlingwa akizungumza katika hafla hiyo.
Bweni la wanafunzi lililojengwa kwa ufadhili wa hifadhi za taifa (TANAPA) katika shule ya sekndari Nuru wilayani Siha.
Kaimu mkurugenzi mkuu wa TANAPA,Ibrahim Musa akizungumza katika hafla hiyo juu ya dhana ya ujirani mwema inayofanywa na Shrika la Hifadhi za Taifa,(TANAPA) kwa jamii zinazozunguka hifadhi za taifa.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akikata utepe katika Bweni hilo ,
Mku wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa ndani ya Bweni hilo.
Wananfunzi katika shule hiyo wakimsikiliza mkuu wa Mkoa marabaada ya kufungua rasmi Bweni hilo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment