GLOBAL EDUCATION LINK YASHIRIKI MKUTANO WA UMOJA WA FINLAND NA TANZANIA

Mkurugenzi wa biashara ya ndani mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TANTRADE), Edwin Rutagarutwa akizungunza katika semina ya kibiashara iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam leo. Kuhusiana na wigo wa biashara hapa nchini na nchi ya Finlan.
Mwenyekiti wa mkutano na Ushirikishaji wa ubalozi wa Finland, Siv Ahlberg katika akizungunza katika semina ya kibiashara iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam jana, kuhusiana na historia ya Finland pamoja na njia za kibuiashara za nchi yao.
 Mkurugenzi Mkuu wa Global Education Link, Abdulmalik Mollel akiuliza swali kuhusiana na utoaji elimu kwa wananchi kuhusiana na masual;a ya kibiashara kati ya wafinland waliopo hapa nchini na Watanzania.
Mkurugenzi mtendaji Global Education Link, Abdulmalik Mollel akizungumza na Balozi wa Finland hapa nchini, Sinikka Antila mara baada ya mkutano uliokuwa ukishirikisha masuala ya biashara kati ya wafanyabiashara hapa nchini na wafinland, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Global Education Link, David Nsimba.
Mkurugenzi mkuu mtendaji wa kampuni ya 3disius International , Afrodisius Sabuni akichangia maada katika kuhusiana na kinga ya mjasisliamali wa kitanzania kwenye kutoa taarifa za kibenki kwa wawekezaji wa kigeni iko na imara kwa kiasi gani na inaulinzi wa kutosha katika jamii, katika semina ya kibiashara iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu nyerere jijini Dar es Salaam jana.  
Baadhi ya wadau wa biashara waliohudhuria katika mkutano unaoshirikisha wadau wa biashara wa hapa nchini na wafinland.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment