Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imeendesha mkutano na wadau kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi kujadili taarifa ya utafiti uliyofanyika katika mikoa 10 nchini kwa kushirikiana na Mtaalamu kutoka Chuo kikuu cha Huddersfield nchini Uingereza.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Watoto Bibi. Magret Mussae (katikati) akiwa na wadau wengine katika mkutano huo. Picha zote na Hassan Mabuye.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bibi Anna Maembe (katikati) akiendesha mkutano huo.
Mtafiti mwandamizi kutoka Chuo kikuu cha Huddersfield nchini Uingereza Prof. Berry Percy Smith akiwasilisha taarifa hiyo.
0 comments:
Post a Comment