Meneja Mkuu wa wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. David Nsimba (katikati) akizungumza na wateja aliyewatembelea ofisini kwao katika maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. Kantante Cornerio akihudumia wateja waliohudhuria katika ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa
Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya
nchi, Bi. Regina Lema akihudumia wateja waliohudhuria katika
ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara,
Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya
Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa
Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya
nchi, Bi. Saada Selemani akihudumia wateja waliohudhuria katika
ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara,
Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya
Kilwa jijini Dar es Salaam.
Afisa
Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya
nchi, Bi. Jacquline Mbise akihudumia wateja waliohudhuria katika
ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara,
Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya
Kilwa jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment