PICHA YA LEO

Kumbukumbu; Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, amemuomba Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM), aendelee kusaidia wananchi kwani na yeye Mungu atamsaidia. Mwinyi alitoa kauli hiyo wilayani hapa juzi kwenye Jubilee ya miaka 20 ya Sekondari ya Wasichana ya Maasae aliyoifungua Mei 27, mwaka 1995 ikiwa ni maalumu kwa wasichana wa jamii za wafugaji na waokota matunda.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment