WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MARIA DE MATTIAS WATEMBELEA OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA MAONYESHO YA NANE NANE , DODOMA

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Yokobetty Malisa (wa kwanza kulia) akieleza majukumu ya Idara hiyo kwa wanafunzi wa kidato cha pili kutoka shule ya Sekondari ya Maria de Mattias walipotembelea Idara hiyo Agosti 4, 2015 wakati wa maonesho ya Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Dodoma.
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Maria de Mattias wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda la Ofisi ya Waziri Mkuu mara baada ya kutembelea Idara zilizoshiriki katika maonesho ya Nane Nane tarehe 04 Agosti, 2015 katika Viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment