Zuhura Tunde, mwanafunzi kutoka Ruvu girls Secondary school
akisikiliza kwa makini wakati wanafundishwa katika semina iliyoandaliwa
na Soma Cafe hivi karibuni
Neema Komba - Mwandishi, mshairi na mwalimu katika semina hii
iliyoandaliwa na Soma Cafe jijini Dar es Salaam akifundisha Uandishi
wakibunifu.
Wanafunzi kutoka Ruvu girls secondary school wakisoma kitabu wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Soma Cafe na mwalimu Neema komba akiwasikiliza kwa makini. Wanafunzi ni Fatma Mohamed Namkape, Beatrice L Mmassa na Zuhura Tunde (kushoto - kulia).
0 comments:
Post a Comment