Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma, Peter Toima akipokea
hati ya pongezi aliyokabidhiwa na Mkuu wa mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera, baada
ya kukabidhi miradi ya thamani ya sh700 milioni ya shule ya sekondari Emboreet
ya wilaya Simanjiro.
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma, Peter Toima
akionyesha hati ya pongezi aliyokabidhiwa na Mkuu wa mkoa wa Manyara, Dk Joel
Bendera, (kulia) baada ya kukabidhi miradi ya thamani ya sh700 milioni ya shule
ya sekondari Emboreet ya wilaya Simanjiro.
Wanafunzi wa shule ya sekondari Emboreet Wilaya Simanjiro
Mkoani Manyara, wakimkabidhi risala yao Mkuu wa mkoa huo Dk Joel Bendera, baada
ya kukabidhiwa juzi miradi ya shule ya thamani ya sh700 milioni na Mkuu wa mkoa wa
Kakonko Mkoani Kigoma, Peter Toima.
0 comments:
Post a Comment