MAHAFALI YA 14 YA MZUMBE KAMPASI YA DAR ES SALAAM YAFANA, CHUO CHAAZIMIA KUJENGA UWEZO WA WAJASIRIAMALI WA VIWANDA VIDOGO


 Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam wakifurahia kuhitimu masomo yao wakati wa mahafali ya 14 yaliyofanyika Julius Nyerere International Convention Center jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
 Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam wakifurahia kuhitimu masomo yao wakati wa mahafali ya 14 yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Profesa Josephat Itika akiongea wakati wa mahafali ya 14 ya chuo hicho yaliyofanyika Julius Nyerere International Convention Center jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment