LY 88 WAFANYA SHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA 2016

Wanafunzi waliosoma katika Shule ya Msingi Mbuyuni iliyopo jirani na Kanisa la St. Peter Oysterbay jijini Dar es Salaam wakiwa katika sherehe ya kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016 katika mgahawa wa Samaki-Samaki uliopo Posta mpya jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Katika hafla hiyo waliagana na mwenzao anayeishi nchini Marekani, Emma  Kasiga ambaye anatarajiwa kuondoka Februari 28. (Picha na Habari Mseto Blog)
................ilikuwa ni siku ya furaha.
Marafiki wakiwa katika hafla fupi ya kupongezana kwa kuingia mwaka 2016.
Tumaini Mgaya akiwa na Alex Chalamila.
Cheers.
Cheers.
Kutoka kushoto Yusuf Ally, Damasi Mlolele, Francis Dande, Tumaini Mgaya na Alex Chalamila.
Emma Kasiga, Alex  wakiwa na furaha walipokutana katika sherehe hiyo.
 Emma na Mahinga.
  Carolyn (kulia), akiwa na Niti.
Yusuf na Mahinga.
Gwantwa (kushoto) akiwa na Mahinga.
Mwaaaaa.
Yusuf Ally (katikati) akiwa amepozi kwa picha na Tumaini Mgaya na Alex Chalamila.
Kutoka kushoto ni Carolyn Shayo, Emma Kasiga, Mahinga na Gwantwa Mwaisaka.
 Wadau wakiwa katika hafla hiyo.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment