NAIBU KATIBU MKUU AMPONGEZA GETRUDE CLEMENT

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (Kushoto) akiwa na akiwa na Mjumbe Maalumu wa Amani na Mwanaharakati wa Mazingira Bi. Getrude Clement (katikati) alipotembelea Ofisi ya Makamu wa Rais. Naibu Katibu Mkuu amempongeza kwa kuiwakilisha vema Tanzania Bw. Richard Muyungi.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava (Kushoto) akiwa na akiwa na Mjumbe Maalumu wa Amani na Mwanaharakati wa Mazingira Bi. Getrude Clement na Bw. Brightiles Titus wanaharakati wa Masuala ya Mazingira. Bi. Getrude aliwasilisha ujumbe wa vijana katika utiaji saini Mkataba wa Paris jijini Newyork kwa kushirikiana na Unicef.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment