WATOTO WANAHITAJI UPENDO

 Mwanafunzi wa Shule ya St. Florence Academy, Sameer Cecil, akiwatoka wanafunzi wenzake wakati wa mazoezi yaliofanyika kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama Dar es Salaam jana.
Mchezaji chipukizi wa Tenisi Ismail Imani, akirudisha mpira kwa mpizani wake wakati wa mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye viwanja vya Posta Kijitonya Dar es Salaam juzi.
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment