MKUU WA MKOA WA DODOMA, JORDAN RUGIMBANA ATEMBELEA NA KUKAGUA MAENDELEO YA UTENGENEZAJI WA MADAWATI WILAYANI CHEMBA NA KONDOA


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana (aliyevaa sweta) akikagua maendeleo ya utengenezaji madawati kwenye karakana zinazotengeneza madawati  ya wilaya za chemba na kondoa Mei 30, 2016.  
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Jordan Rugimbana (wa pili kutoka kulia walio kalia dawati) akikagua ubora wa madawati yanayotengenezwa na wilaya ya Chemba kwa lengo la kutekeleza agizo la Mhe. Rais la kumaliza tatizo la uhaba wa madawati Mei 30, 2016.
Mafundi wakiendelea na kazi ya utengenezaji madawati ya Wilaya za Chemba na Kondoa kama walivyokutwa Mei 30, 2016 wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kukagua maendeleo ya utekelezaji wa agizo la Mhe. Rais la kumaliza tatizo la uhaba wa madawati.
(Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma)
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment