|
MENEJA WA MFUKO
WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOANI TANGA(NHIF) ALLY MWAKABABU AKIMSIKILIZA
KWA UMAKINI MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MWANANCHI ,BURHUANI YAKUB
MWENYE TISHETI YA BLUU ALIYEKATA UFFANUZI KUHUSU HUDUMA ZAO. |
|
KUSHOTO NI AFISA
MATEKELEZO WA NHIF MKOA WA TANGA,MIRAJI KISILE AKIMUHUDUMIA MKAZI WA
JIJI LA TANGA ALIPOTEMBELEA BANDA LAO LILILOPO KWENYE MAONYESHO YA PILI
YA KIMATAIFA YA BIASHARA YANAYOFANYIKA ENEO LA MWAHAKO JIJINI TANGA. |
|
AFISA
UHAMASISHAJI WANACHAMA WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOANI
TANGA(NHIF) VISTUS TILUSASILA KUSHOTO AKITOA ELIMU KUHUSU MFUKO HUO KWA
MKAZI WA JIJI LA TANGA. |
|
MWENYEKITI WA
KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOANI TANGA,HASSANI HASHIM AKIMULIZA JAMBO
MENEJA WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOANI TANGA(NHIF) ALLY
MWAKABABU WAKATI ALIPOTEMBELEA BANDA LAO KUPIMA SUKARI NA PRESHA. |
|
MENEJA MFUKO WA
TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOANI TANGA(NHIF) ALLY MWAKABABU WA PILI KILIA
AKIPIMWA NA NESI WAKATI WA MAONYESHO YA PILI YA KIMATAIFA YA BIASHARA
YANAOFANYIKA KWENYE VIWANJA VYA MWAKIDILA JIJINI TANGA. |
|
UPIMAJI WA WANANCHI UKIENDELEA KWENYE BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOANI TANGA. |
AFISA
MATEKELEZO WA NHIF MKOA WA TANGA,MIRAJI KISILE KULIA AKIMPIMA UREFU
MWANDISHI WA HABARI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TBC MKOANI TANGA,BERTHA
MWAMBELA AMBAYE ALITEMBELEA BANDA LAO
Picha kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
0 comments:
Post a Comment