Skuli ya sekondari ya Kusini iliyopo Makunduchi imepokea msaada wa madeski 20 wenye thamani ya Tshs. 5 milioni kutoka kwa Bi. Christin Stromberg kutoka Sundsvall. Madeski hayo yatawapatia vikalio wanafunzi 60. Msaada huo umewasilishwa na ndugu Mohamed Muombwa kwa uongozi wa Skuli.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment