Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Severin Kahitwa akisisitiza jambo
wakati wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa kwa waratibu maafa mkoani
humo yanayoendelea wilayani Hai, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya
Waziri Mkuu Idara ya Uratibu maafa kwa Ufadhili wa UNICEF kupitia
mradi wa kuijengea jamii uwezo wa kukabili maafa yatokanayo na ukame.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa yatokanayo na
ukame kutoka katika Halmashauri za wilaya ya Same, Hai na Mwanga
mkoani Kilimanjaro wakifuatilia mafunzo hayo yanayoendelea wilayani
Hai, kwa kuratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Uratibu maafa kwa
Ufadhili wa UNICEF kupitia mradi wa kuijengea jamii uwezo wa kukabili
maafa yatokanayo na ukame.
Mkurugenzi Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia
Jenerali Mbazi Msuya akiongea na waandishi wa habari wa mkoani
Kilimanjaro juu ya umuhimu wa mafunzo ya Menejimenti ya maafa ya
ukame kwa waratibu maafa katika Halmashauri za wilaya ya Same, Hai na
Mwanga wakati wa mafunzo yanayoendelea kuratibiwa na Ofisi hiyo
wilayani Hai kwa Ufadhili wa UNICEF kupitia mradi wa kuijengea jamii
uwezo wa kukabili maafa yatokanayo na ukame.
0 comments:
Post a Comment