Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Bw. Haroub Soud Mzee ambaye ni mlemavu
wa miguu bajaji itakayomsaidia katika shughuli zake mbalimbali za
kimasomo. Bw. Mzee ni mwanafunzi wa Uhasibu mwaka wa tatu katika Chuo
Kikuu cha Kampala University jijini Dar es salaam
Rais
Jakaya Kikwete akisoma maelezo ya kadi ya bajaji aliyemkabidhi. Haroub
Soud Mzee ambaye ni mlemavu wa miguu bajaji itakayomsaidia katika
shughuli zake mbalimbali za kimasomo. Picha na Magreth Kinabo - MAELEZO
0 comments:
Post a Comment