Mkaguzi
Msaidizi Idd Chanyika wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Mkoa wa Zimamoto
Ilala akielekeza watoto kutoka shule ya awali ya GENESIS waliotembelea kituoni
hapo jana tarehe 12 Oct, 15 jinsi ya kutumia vazi la kujikinga na sumu pamoja
na bacteria hatari.
Mkaguzi
Msaidizi Idd Chanyika wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akielekeza watoto wa
shule ya awali GENESIS jinsi ya kukabiliana na moto wa hatua ya awali, mafunzo
yaliyofanyika katika kituo cha Zimamoto na Uokoaji Ilala jijini Dar es Salaam jana
tarehe 12 Oct, 15. Picha
na FC Godfrey Peter.
0 comments:
Post a Comment