KIKAO CHA KAMATI KUU YA BARAZA LA WATOTO CHAFUNGULIWA NA PINDI CHANA

Kikao cha Kamati Kuu ya Baraza la Watoto chafunguliwa na Pindi Chana, Dodoma. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana (Mb) (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Ameir Haji Khamis (kushoto) na Muweka Hazina wa Baraza hilo Haitham Juma (kulia) pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu wa Baraza la Watoto na Baadhi ya Walezi.
Naibu Waziri akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Ameir Haji Khamis wakati wa kikao hicho
Wajumbe wa Kamati Kuu wa Baraza la Watoto wakijadili baadhi ya mambo yanayowahusu watoto pamoja na changamoto zinazo wakabili.
Naibu Waziri alipohudhuria kikao hicho.
Picha zote na Hassan Mabuye
SHARE
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment