Mwanafunzi wa Chuo cha Veta kilichopo Oljoro mkoani Arusha
akiuliza swali kwa wataalamu wa TANESCO katika mafunzo hayo.
Baadhi ya wanafunzi
wa Shule ya Msingi Oldonyo Sambu ya
Mkoani Arusha wakiwa na zawadi zao walizopewa na wataalam wa TANESCO kama
zawadi za kushiriki vyema katika mafunzo hayo na kujibu na kuuliza
maswali, kushoto ni Afisa Mahusiano na Wateja Mkoa wa Arusha Bw.Fred
Mbavai.
Baadhi ya wanafunzi
wa Shule ya Msingi Mbweni ya jijini Dar es Salaam wakiwa tayari kuwapokea
wataalam kutoka TANESCO kwa ajili ya kupokea elimu kuhusu masuala
mbalimbali ya umeme.
Afisa Masoko Bi. Jenifer Mgendi kutoka Shirika la Umeme
(TANESCO) akitoa zawadi kwa wanafunzi waliojibu maswali vizuri
wakati wa utoaji elimu ya masuala ya umeme, katika Shule ya Msingi Tandika ya
jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment